RUHAGOYACU.com
RuhagoYacu  |  Afrika  |  Ligi

Viongozi wa klabu ya Gor Mahia wampelekea beki Mackenzi kombe la ligi kuu nyumbani kwake

Viongozi pamoja na kocha mkuu wa klabu ya Gor Mahia wamempelekea beki wao Nizigiyimana Mackenzie kombe la ligi kuu nyumbani kwake.

Mwaka huu, klabu hiyo ilinyakua kombe la 16 la ligi kuu nchini Kenya bila beki huyo kushirikiana na wenzake kwa sababu ya jeraha.

JPEG - 85.5 kb
Kiongozi wa klabu ya Gor Mahia Ambrose
JPEG - 78.4 kb
Kocha mkuu wa Gor Mahia Dylan Kerr pamoja na beki Mackenzie

Kiongozi Ambrose pamoja na kocha mkuu Dylan Kerr jana Jumanne walifanya kitendo cha upendo cha kumkuta nyumbani kwake ambapo anasalia kwa kumjaza furaha za kombe la ligi kuu ambalo aliwasaidia kunyakua hata likiwa la pili wakiwa pamoja.

JPEG - 72.6 kb
Mackenzie pamoja na mke wake
JPEG - 110 kb
Mwaka huu klabu ya Gor Mahia ilinyakua kombe la 16 la ligi kuu ya Kenya

Mackenzie amedumu miaka mitatu katika klabu ya Gor Mahia ambapo alielekea akitoka Rayon Sports.

Map : Nyumbani  \  Afrika  \  Ligi

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!