RUHAGOYACU.com

Breaking: Droo ya kombe la Shirikisho Afrika, APR FC yaikabili ANSE Reunion

Droo ya kombe la shirikisho Afrika imefanyika leo Alhamisi nchi Misri huku APR FC ikaikabili ANSE Reunion kutoka Shelisheli (Sychelles).

Timu itakayoshinda itaivaa katika ya Mali 2 na Elwa United ya Liberia.

Map : Nyumbani  \  Afrika  \  Michuano ya CAF

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine