RUHAGOYACU.com

Huu msimamo wa ligi kuu kikapu

Ligi kuu kikapu imefikia hatua yake ya tisa ambapo REG BBC na Patriots wanasimama nafasi ya kwanza ana alama 9 na michezo 5 kwa kila timu.

Huu msimamo:
1. REG BBC 9 ( michezo 5)
2. Patriots BBC 9 (michezo 5)
3. IPRC Kigali BBC 6 (michezo 4)
4. Espoir BBC 6 (michezo 5)
5. IPRC South BBC 5 (michezo 3)
6. APR BBC 5 (michezo 4)
7. UGB 5 (michezo 4)
8. Rusizi BBC 2 (michezo 2)

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine