RUHAGOYACU.com

Patriots yaichapa APR BBC ligi ya kikapu

Timu ya Patriots imeichapa APR BBC kwa seti 65-52 (21-14, 13-10, 16-12, 15-16) katika ligi kuu kikapu.

Mchezo huo wa hatua ya sita ligi hiyo ulifanyika jana katika uwanja wa Amahoro na Patriots walipata ushindi huo kupitia mategemeo wake Sagamba Sedar na Mugabo Aristide.

Patriots wamesogea mbele katika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi ya kikapu ambapo wamefika alama 9 sawa na REG BBC.

Hii ratiba ya mechi za leo na kesho Jumapili:
Leo Jumamosi ya Januari 6, 2018:
Espoir BBC vs Rusizi BBC (Petit Stade Remera; 11h00)
UGB vs IPRC South BBC (Petit Stade Remera; 13h00)

Kesho Jumapili ya Januari 7, 2018:
UGB vs Rusizi BBC (Petit Stade Remera; 09h00)
APR BBC vs IPRC South BBC (Petit Stade Remera; 11h00)

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine