RUHAGOYACU.com

Gisagara yaibuka bingwa wa ligi ya mpira wa wavu 2017

Timu ya wanaume ya Gisagara imeibukwa bingwa wa ligi kuu mpiraa wa wavu 2017 baada ya kuishinda Kirehe seti 3 kwa1.

Mechi ya pili imetokea Jumamosi jana wilayani Kirehe jimbo la mashariki baada ya kwanza kutokea Gisagara jimbo la kusini ambapo pia Gisagaa iliibuka mshindi kwa seti 3 kwa 1 tena.

Kwenye ligi ya mpirwa wa wavu, timu ya wanawake ya Rwanda Revenue Authority pamoja na wanaume zilitwaa makombe.

Timu hizo zitakabidhiwa makombe mwishoni mwa mwezi huu wa Septemba watakapokuwa wanajiandaa kushiriki mashindano ya Carre d’As yatakayoshirkisha timu nne bora katika ligi hiyo 2017.

Map : Nyumbani  \  Mchezo wa wavu

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine