RUHAGOYACU.com
RuhagoYacu  |  Rwanda  |  Amavubi

CHAN 2018: Miaka ya kuzaliwa kwa wachezaji wa Amavubi, mdogo wao alizaliwa mwaka 1998

Kabla kushiriki kinyang’anyiro cha wachezaji wa ndani barani Afrika (CHAN) nchini Moroko mwaka huu, Ruhagoyacu inakufahamisha miaka ya kuzaliwa kwa wachezaji wa timu ya taifa ya Rwanda ’Amavubi’ (katika Kiswahili ’Nyigu’).

JPEG - 469 kb
Wachezaji wadogo wa kikosi cha Amavubi ni kiungo Djabel Imanishimwe (2) na mshambuliaji Abeddy Biramahire (7) ambao walizaliwa mwaka 1998

Wadogo wa kikosi hicho ni kiungo Djabel Imanishimwe na mshambuliaji Abeddy Biramahire ambao walizaliwa mwaka 1998 huku mkubwa wao akiwa nahodha Eric Bakame aliyezaliwa mwaka 1998.

JPEG - 439.9 kb
Mkubwa wa wachezaji wa Amavubi ni nahodha Eric Bakame aliyezaliwa mwaka 1998

Amavubi walipangwa kundi D pamoja na Nigeria, Libya na Guinnea Equatorial.

Hii miaka ya kuzaliwa kwa kikosi cha Amavubi:
Makipa:
1 Ndayishimiye Eric (1988)
18 Nzarora Marcel (1994)
23 Kimenyi Yves (1996)

Mabeki:
3 Ndayishimiye Celestin (1994)
9 Mbogo Ali (1994)
13 Fitina Omborenga (1996)
14 Iradukunda Eric (1992)
15 Usengimana Faustin (1995)
16 Rugwiro Herve (1994)
17 Manzi Thierry (1996)
20 Rutanga Eric (1992)
22 Kayumba Soter (1993)

Viungo:
2 Manishimwe Djabel (1998)
4 Bizimana Djihad (1996)
5 Nshimiyimana Amran (1988)
6 Mukunzi Yannick (1995)
8 Niyonzima Ally (1996)
10 Hakizimana Muhadjiri (1994)
11 Nshuti Dominique Savio (1997)

Washambuliaji:
7 Biramahire Abeddy (1998)
12 Mico Justin (1994)
19 Nshuti Innocent (1998)
21 Mubumbyi Bernabe (1992)

Map : Nyumbani  \  Rwanda  \  Amavubi

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine