RUHAGOYACU.com

APR FC 1- Musanze 1: Mastaa na makocha walioshuhudia mchezo

Siku jana ya jana Jumatano timu ya APR FC ilitoka sare ya 1-1 na Musanze kwenye uwanja wa Kigali katika mchezo wa ligi kuu hatua ya kumi.

Gazeti hili lilishuhudia mchezo huo ambao ulitazamwa tena na mastaa pamoja na makocha wa timu tofauti.

JPEG - 919.4 kb
Mwanamuziki Tizzo wa kundi la Active alikuwepo
JPEG - 827.8 kb
Kocha wa timu ya soka ya Marines Yves Rwasamanzi
JPEG - 978.5 kb
Kocha wa AS Kigali ,iliyo nafasi ya pili ligi kuu, Eric Nshimiyimana (wa t-shirt nyeupe)
JPEG - 541.4 kb
Kocha wa Kiyovu Sports, inayoshika nafsi ya kwanza ligi kuu, Cassa Mbungo Andrew (wa t-shirt nyeupe)

Bonyeza hapa kwenye mtandao wa Flickr uje upate picha nyingine nyingezo za mchezo huo.

Mpiga-picha: Julius Ntare

Map : Nyumbani  \  Rwanda  \  Daraja la kwanza

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine