RUHAGOYACU.com

Huu msimamo wa ligi kuu ARPL baada ya mechi za hatua ya 10

Ligi kuu ya soka Rwanda ARPL iliendelea siku ya jana Jumatano ambapo APR FC ilishindwa kushika nafasi ya pili baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Musanze FC kwenye uwanja wa Kigali.

Nao, Amagaju waliichabanga Gicumbi mabao 4-1 kwenye uwanja wa Nyagisenyi.

Hiyo ilikuwa hatua ya kumi ya ligi kuu na hadi sasa Kiyovu Sports inashika usukani.

Huu msimamo:

Map : Nyumbani  \  Rwanda  \  Daraja la kwanza

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine