RUHAGOYACU.com

Ligi kuu ARPL kurejea Februari

Shirikisho la Soka Rwanda Ferwafa limetangaza kuwa i ligi kuu itaendelea mwezi Februari mwaka huu baada ya timu ya taifa ya Rwanda (Amavubi) kutoka katika mashinano ya CHAN nchini Moroko.

Mashindano ya CHAN yataanza kufanyika tarehe 11 Januari na kumalizika Febrauri 4, 2018.

Hadi sasa, Kiyovu Sports inashika nafasi ya kwanza na alama 20.

Hii ratiba ya michezo ya hatua ya 11 ligi kuu:
Kiyovu Sports vs Bugesera
Rayon Sports vs APR FC
Etincelles vs Miroplast
Amagaju vs Espoir
Sunrise vs Mukura
AS Kigali vs Kirehe
Marines vs Police
Musanze vs Gicumbi

Map : Nyumbani  \  Rwanda  \  Daraja la kwanza

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine