RUHAGOYACU.com

Picha: Rayon Sports warejea mazoezini, wachezaji wapya tayari

Wabingwa watetezi wa ligi kuu ya Rwanda Rayon Sports wamerejea mazoezi wakijifua kwa kushiriki michuano ya kombe la siku ya mashujaa na ligi kuu itakayoendelea kufanyika baada ya Amavubi kutoka katika mashindano ya CHAN.

Mazoezi ya leo yameanza majira ya saa tisa kwenye uwanja wa Nzove huku kukiwa na wachezaji wanne wapya kutoka Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia kwa ajili ya majaribio.

Gazeti hili limeshuhudia mazoezi hayo.

JPEG - 210.7 kb
Kocha mkuu Olivier Karekezi na msaidizi wake Jannot Witakenge
JPEG - 313.3 kb
Mshambuliaji mpya ambaye mashabiki wamembatiza Katauti kwa kushabihiana naye
JPEG - 119.5 kb
Winga wa kushoto
JPEG - 123.3 kb
Beki wa kushoto
JPEG - 117.6 kb
Mshambuliaji


Mpiga picha: Hardi Uwihanganye

Map : Nyumbani  \  Rwanda  \  Daraja la kwanza

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine