RUHAGOYACU.com

Daraja la pili kundi B: Intare yaichapa Interforce FC 3-2, yashika nafasi ya kwanza

Timu ya Intare imeshika nafasi ya kwanza katika ligi daraja la pili baada ya kuichapa Interforce FC 3-2.

Mchezo huo ulifanyika jana Jumapili kwenye uwanja wa FERRWAFA majira ya tisa na nusu.

Ushindi huo iliiwekwa kileleni kundi B Intare FC na alama 18.
Msimamo wa kundi B daraja la piliMsimamo wa kundi B daraja la pili
Walioanza kwa Interforce FC: Mugisha Emmanuel, Murenzi Jacques, Bugingo Hakim, Ngabonziza Pacifique, Niyondamya Patrick, Nsengiyumva Daniel, Rutayisire Amani, Kayumba Jimmy, Munyemana Alexandre, Muhire Denis, Tuyizere Revocat.

Kocha: Nkotanyi Ildephonse.

Walioanza kwa INTARE FC: Ntwari Fiacre, Bigirimana Aimable, Hakizimana, Niyigena, Manzi Willy Patrick, Nyandwi Charles, Byiringiro Rague, Bakundukize Innocent, Mugunga Yves, Nshimiyimana Gilbert, Sindambiwe Protais.

Kocha : Rubona Emmanuel.

Map : Nyumbani  \  Rwanda  \  Daraja la pili

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine