RUHAGOYACU.com

APR FC : Mshambuliaji wa Zesco United Jean Claude Iranzi ajiunga tena na timu yake ya zamani mazoezini

Siku ya jana Jumatano, kikosi cha APR FC kilifanya mazoezi huku kikijifua kushiriki mashindano ya kuadhimisha siku ya mashujaa na ligi kuu baadaye.

JPEG - 395 kb
Hadi sasa mshambuliaji Iranzi Jean Claude ni mali ya Zesco United

Katika mazoezi hayo ambayo yalifanyika kwenye uwanja wa Kicukiro kulikuwa mshambuliaji wake wa zamani Jean Claude Iranzi ambaye kwa sasa ni mali ya timu ya Zesco United nchini Zambia.

JPEG - 661.3 kb
Msambuliaji Iranzi Jean Claude katika mazoezi

Akizungumza na vyombo vya habari, mshambuliaji huyo alitangaza kuwa bado ana mkataba na timu ya Zesco United.

JPEG - 818.8 kb
Kikosi cha APR FC mazoezini

Iranzi alikataa kufunguka kuwa ataichezea APR FC mwaka huu.

Iranzi alisema kuwa anachukua APR FC nyumbani kwake na ikiwezekana kuwa timu hiyo inataka msaada wake na kumuajiri yuko tayari kuishiriki.

Ijapokuwa bado haijawekwa hadhari kuwa Iranzi tena ni amejiunga na APR FC, inadaiwa kuwa APR FC walimalizana naye kuwachezea kwa ajili ya kuboresha zaidi safu ya ulinzi.

Iranzi alielekea timu ya Zesco United mwaka jana 2017 kutoka MFK Topolcany nchini Slovakia ambapo alielekea akitoka APR FC.

Bonyeza hapa uangalie picha nyingi nyinginezo kwenye mtandao wa Flickr

Map : Nyumbani  \  Rwanda  \  Habari za motomoto

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine