RUHAGOYACU.com

Hii ratiba ya michuano ya mashindano ya mashujaa

Mashindano ya kuadhimisha siku ya mashujaa nchini Rwanda tarehe mosi mwezi wa Febrauri kila mwaka yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi Januari 20 mwaka huu.

Mashindano hayo yatashirikisha timu nne bora katika ligi kuu Rwanda ARPL mwaka jana 2017.

Timu hizo ni wabingwa watetezi wa ligi hiyo Rayon Sports, APR FC, Police FC na AS Kigali.

Kwa mujibu wa tangazo la Shirikisho la Soka Rwanda (Ferwafa), hii ratiba ya michezo:

Januari 20, 2018:
Siku ya kwanza:
Police F.C Vs APR F.C (Amahoro Stadium, 13.00)
AS Kigali Vs Rayon Sports (Amahoro Stadium, 15.30)

Januari, 27:
Siku ya pili:
APR FC Vs Police FC
AS Kigali Vs Rayon Sports

Februari, 1:
Siku ya tatu:
Police FC Vs AS Kigali
Rayon Sports Vs APR FC

Map : Nyumbani  \  Rwanda  \  Habari za motomoto

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine