RUHAGOYACU.com

Picha: Kocha msaidizi wa Rayon Sports Jannot Witakenge aanza kazi

Kocha msaidizi mpya wa Rayon Sports Jannot Witakenge ameanza kazi zake za ukocha katika wabingwa watetezi hao wa ligi kuu Rwanda ARPL.

JPEG - 309.2 kb
Kocha mkuu Olivier Karekezi akizungumza na msaidizi wake Witakenge

Witakenge ambaye aliwahi kuichezea Rayon Sports alipokelewa kwa shangwa na nderemo na mashabiki wa Rayon Sports siku ya jana Jumatatu katika mazoezi ya yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nzove.

JPEG - 726.9 kb
Akiangalia mazoezi

JPEG - 1 Mb
Jannot Witakenge akisalimiana na kocha wa makipa Ramazani Nkunzingoma

Witakenge alipewa kibarua cha kumsaidia Olivier Karekezi wiki jana baada ya kumkosa hayati Hamad Ndikumana ’Katauti’ aliyeaga dunia mwaka jana mwezi wa Novemba.

Map : Nyumbani  \  Rwanda  \  Habari za motomoto

Maoni


  • MAELEKEZO KUHUSU MAANDIKO YA MAONI YAKO:
    Andika jina na barua pepe yako pahali penyewe. Maoni yako yanatolewa baada ya kukaguliwa na RuhagoYacu.com. Ikiwa maoni yako yaenda kinyume na habari zilizopo pia na kanuni za wanamichezo hapo yanafutiliwa.
    Shukruni!

Habari nyingine